Benokolongokonongose
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 213
- 52
Kuna huu mfuko wa matibabu wa AAR, naomba kujua mtu anaingizwaje?Wenu Benokolongokonongose
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nlikuaga hapo kitambo kidogo..hiyo ni bima ya afya ambayo unaweza kuingia binafsi au kupitia mwajiri wako kampuni nyingi zina mkataba na AAR.. Kuna process za kujiunga na kuchagua level za huduma kama premium, gold etc..kwa maelezo zaidi ukienda ofisi zao za mikocheni kwa warioba utajua zaidi process
wana huduma nzuri na setup yao ya huduma ni nzuri..madk na manessi wa hospitali zao wanafanya kazi vzr na wapo vzr sana..sema wanawapunja malipo sana na kuna uongozi wanaendeleza uswahili sana pale( unajua wabongo.)
Mipango ya maisha tu.. Kwa kusininhuko sidhani kama wapo ..ila kwa kusini sehemu nzuri ya kwenda ni dar..nsojibu sana maana si msemaji nsije nkaharibu japo naona kama wamelala hiviIlikuwa ukaondoka?Na hapo mikocheni kama mimi ninayetokea Ruvuma ni lazima nije huko?Nimewahi kuona mtu ana kadi ya AAR nikamuuliza amejiungaje akasema hajui. Wabongo bwana.
Mipango ya maisha tu.. Kwa kusininhuko sidhani kama wapo ..ila kwa kusini sehemu nzuri ya kwenda ni dar..nsojibu sana maana si msemaji nsije nkaharibu japo naona kama wamelala hivi