Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
www.uttamis.co.tz
website yao inavikokotoo unaweza kuangalia ukajua ukiweka kiwango flan kwa mda flan unaweza ukapata kias gani..Habari za wakati huu
Naomba msaada juu ya mfuko wa uwekezaji ukwasi , jinsi ya kuongeza salio katika account yako ya uwekaezaji kupitia simu, na ni faida gan ninazozipata ninaponunua vipande au kuuza vipande.
Ahsante
Haina haja kuwa na mifuko mingi, weka mfuko mmoja au miwili yenye tija upate interest nzurinimewekeza mifuko minne ( bond, jikimu, umoja na ukwasi).. mdogo mdogo tu.. ila uwekezaji wa huku unahitaj uvumilivu wa hali ya juu... maaana ni mambo ya compound interest
*150*82#Hao jamaa nilifungua account nikaweka na hela nilishindwa ku log in na niliweka elfu 7000.nimefika crdb napo nilienda kujaza form lakini mpaka leo hamna updates. Customer care hamna kabisa maana hata simu hawapokei.
nlitaka kukuza mtaji sio wa wekeza maisha so kuna mifuko inachangia wekeza maisha sio lazima niwe naweka kila mwezHaina haja kuwa na mifuko mingi, weka mfuko mmoja au miwili yenye tija upate interest nzuri
Aisee niliingiza mara nyingi nikafungiwa*150*82#
Ingiza namba yako ya siri ya simInvest ambayo ulisajiri nayo
Utafika kwenye dondoo zinazokupa maelekezo (hapa chagua #7)
Utaulizwa mtandao ziliko pesa zako kama Tigo, Mpesa au Airtel
Utaulizwa namba ya akaunti unakotaka kuweka
Kisha weka kiasi cha pesa
then you go!
Kwa mfuko wa Jikimu, gawio ni Tsh ngapi kwa alieweka 2M (gawio ni kila robo mwaka)nimewekeza mifuko minne ( bond, jikimu, umoja na ukwasi).. mdogo mdogo tu.. ila uwekezaji wa huku unahitaj uvumilivu wa hali ya juu... maaana ni mambo ya compound interest
Kwa mfuko wa Jikimu, gawio ni Tsh ngapi kwa alieweka 2M (gawio ni kila robo mwaka)
CrDB na NMB unaweza wekaHiv naweza weka standing order from Bank to my utt account??