Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante Mkuu kwa kushare mawazoNext time tafuta peanut butter ile lainii ya kumiminika, Kisha badala ya kuvisonga chemsha tuu then wakati wa kula unakua unadip kwenye hiyo siagi.....ni tamu sana na addictive kiaina vile inamelt mdomoni...niliwahi kuandaliwa na rafiki yangu Mganda mwanzoni nilisita ila baada ya kuonja nilipenda kwa kweli..