mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,707
Mkuu pamoja na kuomba ushauri naomba uwe na busara hakuna atakaye kusifu kwa umama wako.CHANGAMOTO NI CHOO TU UKIPATA CHOO KARIBU NA M-PESA YAKO EVERYTHING KINAKUWA ALRIGHT
unaona sasa ulivyo wa ajabu!!!Mkuu pamoja na kuomba ushauri naomba uwe na busara hakuna atakaye kusifu kwa umama wako.
Chuma ulete ni imani yakoChangamoto kubwa kwenye hii biashara Ni chuma ulete , hii kitu Nina experience nayo na sijawah kupata suluhisho nikaamua kufunga biashara
Kweli kabisaaaChuma ulete ni imani yako