Naomba kujua juu ya hukumu ya kesi ya mauaji

Heavy Weight

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2014
Posts
888
Reaction score
885
Habari ndugu zangu, nahitaji kujua kuhusu kesi ya mauaji mfano watuhumiwa wa kesi ya mauaji wako wawili au zaidi. Inawezekana hukumu zinatofautiana, au wote watahukumiwa kifungo Sawa?
 
Inategemea ushahidi wa jamhuri jinsi walivyothibitisha mashtaka, ila inawezekana kutumikia kifungo sawa au tofauti kwa msingi niliotangulia kusema
 
Hukumu kuwa sawa itategemeana na kama kuna ushahidi wa mashtaka lakini pia itategemea na nature ya hao watuhumiwa kama ni principal offenders au la.ikiwa wote ni principal offenders basi **** kuna ushahidi basi adhabu yao itakuwa ni moja ambayo ni kifo kwa kunyongwa ila kama mmoja wapo atakuwa si principal offender halafu mwingine ni principal offender basi adhabu itakuwa tofauti
 
sheria ya tanzania ina makali sana hivyo hukumu mara nyingi huwa sawa# hata ukiangalia katika penal code yetu katika kipengele cha parts to offence # all parts to criminal offence in tanzania face the same fate/ penalization
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…