Heavy Weight
JF-Expert Member
- Mar 1, 2014
- 888
- 885
Habari ndugu zangu, nahitaji kujua kuhusu kesi ya mauaji mfano watuhumiwa wa kesi ya mauaji wako wawili au zaidi. Inawezekana hukumu zinatofautiana, au wote watahukumiwa kifungo Sawa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani kwa ufafanuzi mkuuInategemea ushahidi wa jamhuri jinsi walivyothibitisha mashtaka, ila inawezekana kutumikia kifungo sawa au tofauti kwa msingi niliotangulia kusema