Naomba kujua kama gharama hii ya dirisha la kioo ni sahihi

Naomba kujua kama gharama hii ya dirisha la kioo ni sahihi

Hakuga

Member
Joined
Apr 15, 2021
Posts
29
Reaction score
31
Habari wakuu!

Jamani kuna fundi hapa anataka kuniwekea madirisha ya vioo kwenye nyumba yangu lakn bei zake kwa dirisha moja la 5/6 anafanya tsh 32000 je ni bei za kawaida au ntapigwa.

Naombeni msaada kujua uhalisia maana napata mashaka na hiyo bei.
 
habari wakuu!! jamani kuna fundi hapa anataka kuniwekea madirisha ya vioo kwenye nyumba yangu lakn bei zake kwa dirisha moja la 5/6 anafanya tsh 32000 je ni bei za kawaida au ntapigwa. naombeni msaada kujua uhalisia maana napata mashaka na hiyo bei.
Hiyo ndiyo bei ya sasa boss. 250k ilikuwa mwezi wa 8/2021
 
Hawa mafundi wa wapi
Mbona si tulifanyiwa laki 2
Au ilikua plus kioo ?.!nshasahau
 
Back
Top Bottom