Rose Of Africa
JF-Expert Member
- Apr 27, 2020
- 228
- 96
Vifaa inapatikana wapiKama utanunua material kisha fundi akakuchaji gharama za ufundi tu, bei haitazidi 200,000 kwa dirisha kama hilo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vifaa inapatikana wapiKama utanunua material kisha fundi akakuchaji gharama za ufundi tu, bei haitazidi 200,000 kwa dirisha kama hilo.
Vifaa vinapatikana wapiNaona bora kufanya hivi aisee
Nunua vifaaa fundi apige kazi
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Vipimo vyake tafadhwaliAnayehitaji madirisha used double glass ya PVC anione nina na milango pia
Unauzaje mkuu Mshana Jr. Upana mita 1.2 urefu 2.1Anayehitaji madirisha used double glass ya PVC anione nina na milango pia
Kwani hayafunguki?,AC zipo,feni zipo.Mi huwa nashangaa,kuna watu wanaishi mikoa ya joto kali sana Kama DSM,eti na wao wako busy kuweka hayo Madirisha ya aluminum mwisho wa siku ukikaribishwa humo ndani ni joto tupu hadi unaomba kutoka kukaa nje upate Upepo OG kutoka kwa Sir God!!
Kariakoo ni sehemu mojawapo, kule kwenye maduka mengi ya vifaa vya ujenzi nadhani.Vifaa inapatikana wapi
AsanteKariakoo ni sehemu mojawapo, kule kwenye maduka mengi ya vifaa vya ujenzi nadhani.
Kama kufunguka yanafunguka kidogo sana! AC na feni zinategemea kufanya kazi kutegemeana na huruma ya tanesco! Siku tanesco wakikata umeme wao kazi unayo!!Kwani hayafunguki?,AC zipo,feni zipo.
Asante BroPale TAZARA utapata ndugu yangu
Bei ya dumu la mafuta ya kula kabisa32,000 chukua Mzee usiache.
Umelidharau sana dumu la mafuta mzee.. Now lipo 92,000/=Bei ya dumu la mafuta ya kula kabisa
Hahahah hilo si 20ltrsUmelidharau sana dumu la mafuta mzee.. Now lipo 92,000/=
Yeah! Au ulimaanisha yule mdogo wakeHahahah hilo si 20ltrs
Yeah yule 5 ltrsYeah! Au ulimaanisha yule mdogo wake
Hapo sawaYeah yule 5 ltrs
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hakuna namna.Sasa hapo una madirisha 12 halafu makubwa! Unaacha 4m kimasihara, ukijumlisha na grills unaacha kama 5 hivi!