Naomba kujua kama gharama hii ya dirisha la kioo ni sahihi

Kwani hayafunguki?,AC zipo,feni zipo.
Kama kufunguka yanafunguka kidogo sana! AC na feni zinategemea kufanya kazi kutegemeana na huruma ya tanesco! Siku tanesco wakikata umeme wao kazi unayo!!
 
Madirisha haya ni fashion ya kupendezesha mjengo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…