Naomba kujua kama kuna benki hapa Tanzania inayoweza kukopesha pesa kwa dhamana ya gari

Faru12

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2014
Posts
391
Reaction score
235
Habari wakubwa Kwa wadogo... naomba kujua kama kuna benki hapa Tanzania inayo weza kukopesha pesa kwa dhamana ya GARI! mfano mkopo wa sh 3M (milioni 3) kwa gari ya sh. let say iki-tathiminiwa ikawa milion 7,8,au 9. Na je kama ipo ni benki gani? na je kama wanakopesha dhamana ya gari ni kuwapa Blue card tu au Blue card na gari yenyewe? Nawasilisha pls!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kuna ushauri naweza mshaur mapema sana mtu ni kujiunga vikoba iliyosajiliwa,, kujiunga saccos ...mikopo hum sehem mbili haina stress ila hizi za bank unajikuta gar huna na den bado bichi
 
Kama kuna ushauri naweza mshaur mapema sana mtu ni kujiunga vikoba iliyosajiliwa,, kujiunga saccos ...mikopo hum sehem mbili haina stress ila hizi za bank unajikuta gar huna na den bado bichi
Asante kwaushari ndugu... Vicoba ndio nisawa ila tatizo mwanachama t
Ukiwa bado mpya mwezi 1,2 hawakupi pesa zaidi ya milioni 1. Labda uwe umekaa kwamda mreefu sana kwenye kikundi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…