Faru12
JF-Expert Member
- Jun 24, 2014
- 391
- 235
Habari wakubwa Kwa wadogo... naomba kujua kama kuna benki hapa Tanzania inayo weza kukopesha pesa kwa dhamana ya GARI! mfano mkopo wa sh 3M (milioni 3) kwa gari ya sh. let say iki-tathiminiwa ikawa milion 7,8,au 9. Na je kama ipo ni benki gani? na je kama wanakopesha dhamana ya gari ni kuwapa Blue card tu au Blue card na gari yenyewe? Nawasilisha pls!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app