Naomba kujua kama kuna kampuni inayosafirisha mizigo kutokea Afrika kusini kwenda Tanzania

Naomba kujua kama kuna kampuni inayosafirisha mizigo kutokea Afrika kusini kwenda Tanzania

specialist88

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2014
Posts
1,140
Reaction score
618
Habari ndugu zangu,

Naomba kujua kama kuna kampuni inayosafirisha mizigo kutokea south Africa to DSM Tanzania.

Kama kuna mtu anajua naomba anijulishe tafadhari.

NB:Kama unawaza wizi wizi kaa mbali tafadhari, hutafanikiwa.
 
Habari mkuu, vipi una mizigo kiasi gani? Ipo kampuni inasafirisha kwa malori na kwa uhakika. Kama una mizigo mingi njoo pm nitakuunganisha.
 
Daah nilikuwa nawaza wizi wizi tu,ngoja nikae mbali mkuu
 
Kwa gari mkuu..... Japo najua hakuna bus la moja kwa moja
Kama ni gari na mzigo ni mkubwa au ndo wastani kuna gari za mizigo uwa zinatoka Durban kuna Tanzania japo kwa nadra jaribu njia hiyo .au Kama basi safirisha mzigo mpaka belt bridge boda halafu tafuta basi zinazotoka Harare hadi dar ila mzigo wako uwe na document zote .maana njia ukaguzi ni mwingi sana.
 
Samahani kwa kuingilia post yako mleta mada,mimi nahitaji kutoka dar kwenda SA,

Msaada kwa dar ofisi zilipo
 
Samahani kwa kuingilia post yako mleta mada,mimi nahitaji kutoka dar kwenda SA,

Msaada kwa dar ofisi zilipo

Huyu jamaa wa landmark ni agent wa vipodozi na energy drinks kutoka south moja kwa moja hua gari zinaleta mizigo yake bongo kama unaweza kupata mtu umuulize akupe taarifa zaidi juu ya hilo
 
Back
Top Bottom