specialist88
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 1,140
- 618
Sawa mkuu,Tafuta shipping agent au clearing and forwarding co
Subiri watakuja wewe unamizigo kiasi au ujazo gani njoo 0713455737.Sawa mkuu,
Naomba uniunganishe kama kuna unaowaamini au ulidhawahi kufanya nao kazi..
Habari mkuu, vipi una mizigo kiasi gani? Ipo kampuni inasafirisha kwa malori na kwa uhakika. Kama una mizigo mingi njoo pm nitakuunganisha.Habari ndugu zangu,
Naomba kujua kama kuna kampuni inayosafirisha mizigo kutokea south Africa to DSM Tanzania.
Kama kuna mtu anajua naomba anijulishe tafadhari.
NB:Kama unawaza wizi wizi kaa mbali tafadhari, hutafanikiwa.
Kwa gari mkuu..... Japo najua hakuna bus la moja kwa mojaKwa ndege au gari
Subiri watakuja wewe unamizigo kiasi au ujazo gani njoo 0713455737.
Kama ni gari na mzigo ni mkubwa au ndo wastani kuna gari za mizigo uwa zinatoka Durban kuna Tanzania japo kwa nadra jaribu njia hiyo .au Kama basi safirisha mzigo mpaka belt bridge boda halafu tafuta basi zinazotoka Harare hadi dar ila mzigo wako uwe na document zote .maana njia ukaguzi ni mwingi sana.Kwa gari mkuu..... Japo najua hakuna bus la moja kwa moja
Samahani kwa kuingilia post yako mleta mada,mimi nahitaji kutoka dar kwenda SA,
Msaada kwa dar ofisi zilipo