Naomba kujua kama kuna mtu aliyeomba nafasi za DSS NMB akatumiwa email kwa ajili ya Aptitude Test

Naomba kujua kama kuna mtu aliyeomba nafasi za DSS NMB akatumiwa email kwa ajili ya Aptitude Test

Adriana1706

Member
Joined
Dec 20, 2023
Posts
16
Reaction score
6
Habari wana JF,

Naomba kujua kama kuna mtu alieomba nafasi za DSS Nmb akatumiwa email kwa ajili ya Aptitude test. Na pia kama kuna mtu alishawai kufanya aptitude test za nmb atusaidie muongozo.
 
Nimefanya test yao nimepata 77.5 naweza itwa Oral kweli? Na mwenye uzoefu maswali yao ya oral yanakuaje??
 
Vctor123 na Adriana706 naomba kuongea na nyie please please kuhusu aptitude test maana nafanya kesho
 
Nimefanya tayar test nina 57..5% wadau wengine vip uko? Maswali 40 kwa dk 20 tu
 
Kweli speed and accuracy inapimwa
 

Attachments

  • Screenshot_20241021_115654_Chrome.jpg
    Screenshot_20241021_115654_Chrome.jpg
    151.4 KB · Views: 12
Back
Top Bottom