Adriana1706
Member
- Dec 20, 2023
- 16
- 6
Kwenye Email Dear, angalia kwenye spam messages kwenye email yako ,sema aptitude tumefanya leoKwani majibu wame tuma kwenye email au kwenye NMB careers
Inamana ulitumiwa email hukuiona au haukutumiwa kabisa?Yaani leo ndio najua kuwa watu walishafanya aptitude test jamani imekula kwangu
Sikuiona mimi nilikuwa nacheki kwenye all emails tu au inbox kawaida kama kuna jipya kumbe kuna new email kwenye spam sijaionaInamana ulitumiwa email hukuiona au haukutumiwa kabisa?
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Aptitude uli score ngapi?Haya watu wa western zone walioitwa oral tujuane
Wameanza kuita kwa ajili ya oral?Haya watu wa western zone walioitwa oral tujuane
Hey mamboo nilikuwa naomba msaada ya hayo maswali yanakuwajeNimefanya test yao nimepata 77.5 naweza itwa Oral kweli? Na mwenye uzoefu maswali yao ya oral yanakuaje??
Hey mamboo nilikuwa naomba msaada ya hayo maswali yanakuwaNimefanya test yao nimepata 77.5 naweza itwa Oral kweli? Na mwenye uzoefu maswali yao ya oral yanakuaje??
Umeifny leo trh 21.10.2024?Nimefanya tayar test nina 57..5% wadau wengine vip uko? Maswali 50 kwa dk 20 tu
YesUmeifny leo trh 21.10.2024?
Kweli speed and accuracy inapimw
Ngj tuone ka watatuita oral interview ...nami nimefny jana lkn maswali 40 dk 20