Naomba kujua kazi ya hizi Button kwenye gari

Naomba kujua kazi ya hizi Button kwenye gari

Heisenberg

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2017
Posts
1,691
Reaction score
2,967
Msaada wadau wa jukwaa

Ningependa kujua kazi ya hizi Switch kwenye gari
IMG_2817.jpg
 
Hii inaitwa Plasmacluster Ionizer technology na ina kazi ya kupunguza germs, virus na bacteria na kufanya air iwe Safi. Hii inasemekana inapambana hadi na pollen.

Wengine wataongeza
 
Msaada wadau wa jukwaa

Ningependa kujua kazi ya hizi Switch kwenye gariView attachment 1603165
Hii inaitwa Plasmacluster ionizer Toyota wamenunua hii Technology toka Kampuni inayoitwa Sharp.
Kwa kifupi ni teknolojia inayoondoa Hudrogen toka kwenye virus,bacteria n.k na kuvifanya hivyo viumbe kufa na kuleta hewa safi katika gari isiyokuwa na vijidudu Kama unajua lugha ikiyokuja na meli karibu👇👇👇👇

To create the positive and negative ions, alternating positive and negative voltages are sent to a discharge electrode in the Plasmacluster. The electrode takes H2O molecules in the air and splits them into individual hydrogen and oxygen ions, charges them with opposite charges and sends them back into the air.

The system generates about 7000 ions in a cubic foot of air and this is discharged from the left side dash vent. A driver might hear a slight sound during operation but otherwise, the system operation isn’t apparent – that is unless of course you like breathing clean air.
 
Ya upande wa kushoto majibu yanajitosheleza.... ya upande wa kulia ni rear windscreen heater switch. Kama una gari yenye element kwenye kioo cha nyuma unaweza kukipasha joto for clear vision inatumika zaidi mazingira yenye baridi kali.
 
Back
Top Bottom