Naomba kujua kazi ya vipande vya limao na ice cube kwenye pombe kali

Naomba kujua kazi ya vipande vya limao na ice cube kwenye pombe kali

Gladness

Member
Joined
Feb 12, 2018
Posts
6
Reaction score
9
Jamani naombeni kujua kazi ya hivi vitu kwenye pombe kali haswa Whiskey au Spirit. Je unaweza kutumia kwenye beer?
 
Inafanya kupoza ukali wa ladha kuwa laini ila kwa wenge lile lile nakupunguza hangover
 
Back
Top Bottom