Naomba kujua kazi ya vipande vya limao na ice cube kwenye pombe kali

Naomba kujua kazi ya vipande vya limao na ice cube kwenye pombe kali

Limao linapunguza ukali wa ladha wa spirits, barafu ni kutia ubaridi tu ambao unaleta taste nzuri mdomoni.
 
Back
Top Bottom