Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,403
- 4,692
Chujio, chekeche yenye bomba, bomba lenye shape ya kuwezesha kuhamisha kitu mfano kimiminika, ungaunga, mchanga mchanga e. t. cKwenye Kamusi ya mtandaoni neno Funnel limetafsiliwa km "bomba".Je ni sawa au kuna neno lingine sahihi?