Naomba kujua kiwango cha kawaida cha Sukari mwilini kwa Mgonjwa asiye na Kisukari.

Master Legendary

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
576
Reaction score
876
WanaJF naomba Ushauri,Nina matatizo yanamkabili Baba yangu baada ya kufiwa na Mama yake wiki mbili zilizopita yananichanganya sana,Awali siku mbili baada ya Msiba alipata tatizo la Mkanda wa jeshi uliompiga upande mmoja wa Uso wakati huohuo akapata tatizo la Presha,awali hakuwa nayo labda kama alikuwa nayo hatukuwahi kumpima ila tulinotice baada ya kuona mdomo wake umepinda kwenda kupima Presha ikawa iko juu sana akalazwa ICU pale Regency ilikuwa 230/130,ila tatizo linalotukabili huu Mkanda wa Jeshi umeathiri jicho na haliponi ni almost Mwezi sasa,niliamua kumpima HIV,Moyo,Full Blood Count kote yuko safi,ila Sukari ambayo tunamfuatilia mara zote tumempima baada ya kunywa chai jana ilikuwa 8.7 leo tumekuta 10 sasa sijajua hii ni Sukari ya kawaida kweli?Naomba msaada kwa mnaojua.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
aiseeeee babayangu kiwango cha sukari mwilini kwa binadamu ni 4.5
 
2.5-10.1mmol/l ukiwa umekula, less than 7.1 ukiwa haujala
 
kama una muda sasaa mwone daktari kwenye hospital ya karibu upate ushauri zaidi. though ata hapa watakuja wataalamu pengine watachelewa kidogo
 
Nashukuruni wadau.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…