Naomba kujua kodi ya gari Hyundai ix 35 ya mwaka 2012

kyaibumba

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2017
Posts
715
Reaction score
994
Habari wakuu nimechek kwenye mfumo wa ku calculate kodi wa TRA hyundai ix35 made in Korea haipo, nimeshindwa kujua napataje Gharama zake,

Gari lenyewe hili hapa

FB_IMG_1564647177398.jpg

Naomba msaada kwa wanaojua nawezaje kupata gharama za kulipia kama kodi
 
Habari wakuu nimechek kwenye mfumo wa ku calculate kodi wa TRA hyundai ix35 made in Korea haipo, nimeshindwa kujua napataje Gharama zake,

Gari lenyewe hili hapa

View attachment 1169091

👇kazi kwako
 
Attachments

  • HYUNDAI.png
    HYUNDAI.png
    20.3 KB · Views: 49
Habari wakuu nimechek kwenye mfumo wa ku calculate kodi wa TRA hyundai ix35 made in Korea haipo, nimeshindwa kujua napataje Gharama zake,

Gari lenyewe hili hapa

View attachment 1169091

Naomba msaada kwa wanaojua nawezaje kupata gharama za kulipia kama kodi

Nunua Prado limited, hata ya 2004 - 2008 au 2010 - present, i mean prado 120 au 150, cc 2,700 petrol, i pimp with sporty tyres 22 inches, achana na hyandui, utanishukuru baadae, pearl white or shiny black looks more superb, richer & sexier ..!!
 
Prado ya 2010 inakubali rim kinoma ukiitia 22" umemaliza kazi

Yaani ukiweka 22 rim, alafu iwe face lifted na zile foggy lights, alafu upeleke kidogo Safari Automotive wakuwekee decorations interiors + seat covers ni hatari sana, very gorgeous yaani.. Alafu very economical kwa 2,700 cc unaenda 9 km in urban and 10 km in highway per liter
 
Jamaa anataka matatizo huyo, gari ya mkorea spear utatoa wapi sasa gari yenyewe ni nyanya kinoma. Toyota atabaki kuwa juu kwa kweli sio bongo tu na dunia nzima.
 
Itabaki kua juu juu kileleni.,hahah.

Na ikitokea siku ametaka kuiuza resale value yake itakua ni sawa verossa iliyotumika kibongo bongo aangalie wanaomiliki hyundai Tucson,Hyundai Santa Fe hapa bongo wanavyokipata cha moto.
 
Nunua Prado limited, hata ya 2004 - 2008 au 2010 - present, i mean prado 120 au 150, cc 2,700 petrol, i pimp with sporty tyres 22 inches, achana na hyandui, utanishukuru baadae, pearl white or shiny black looks more superb, richer & sexier ..!!
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
 
litume lije bongo Uwakodishie kina benpol warekodie video...usijaribu litumia serious otherwise vipimo vya dr.vionyeshe hauna tatzo lolote la presha.
 
Back
Top Bottom