Naomba kujua kuhusiana Dr.Mandai mtaalam wa tiba asili Ulongoni Gongo la mboto

Naomba kujua kuhusiana Dr.Mandai mtaalam wa tiba asili Ulongoni Gongo la mboto

Dragonfire

Senior Member
Joined
May 5, 2015
Posts
163
Reaction score
84
Waungwana naomba kufahamu kuhusiana na tiba anazotoa Dr.Mandai ambaye ofisi zake zipo Ulongoni Gongo la Mboto, maana nashawishika kumpeleka mke wangu kupata Tiba ya Vidonda vya Tumbo.

Au kama kuna Bingwa anayeponesha na sio kutuliza naomba kujuzwa

Asanten nakaribisha maoni
 
Back
Top Bottom