Nina maswali mawili ya kuuliza;
(a) Ku establish biashara mmoja inachukua hadi iwe stable.
(b) na kuanzisha biashara baada ya awali inatakiwa u open kwa muda gani?
Nimeuliza hivyo nina maanisha kama una msingi wa kutosha unaweza kufungua biashara zaidi ya mbili kwa muda mfupi?