Naomba kujua kuhusu CESARE BORGIA

Sura yake ilibaki kwenye kitambaa alicho futwa na veronica kwenye ile siku ya mateso yake na watuwote waliokula shavu ya picha zao kutumika ni wale waliokua wanafanana naye
Na mm niliwahi sikia kitu kama hiki
 
Tupe mkuu napenda kufahamu zaid
 

Naomba kuuliza yesu alikuwepo miaka mingapi iliyopita ?
 
Ni usahihi kuchonga sanamu za Yesu na Kuziabudu ?
 
Yesu hakuwa na picha na hatumfaham kwa sura .tunamfaham kwa matendo na maneno yake. Ni ujinga kuhangaika na sura au sanamu ambazo tumezichonga tukisema ni za Yesu. Yesu yupo moyoni

Kama picha/michoro ya sura za akina Plato, Socrates, watawala wa Kirumi, Ma Pharao - wote waliishi miaka mingi kaba ya Yesu kuzaliwa sasa ni kitu gani kinatufanya tuamini kwamba sura ya YESU haijulikani??
 
Asante Sana mkuu kwa kias kikubwa nmepata mwanga
Lakin kuna muda walikua wanamhusisha Cesare na DA Vinci.....na inasemekana hats ile picha ya last supper jamaa alimchora Cesare as yesu kuna ukwel wowote?

Kwa mujibu wa maandishi mbalimbali ni kuwa picha zote zilizochorowa kuhusu Yesu katika karne ya 15 ambayo ilikuwa ndicho kipindi cha renaissance barani Ulaya zilichorwa kuwakiliha taswira ya Cesare Borgia. Hizi ni zao Leonardo da Vinci, Micheloangelo na wengineo.
 
pia inasemekana martin luther senior ktk kupitapita kwenye maktaba ya vitabu huko vatican ndipo alipokuta kitabu cheusi(biblia) kimening'inizwa kwenye minyororo, akajiuliza kwanini kitabu hicho cheusi kilizungushiwa minyororo, kumbuka wakati huo hakuruhusiwa mtu yeyote kusoma biblia isipokuwa tu papa na viongozi wa juu wa kanisa katoliki. Kwahyo Martin Luther akaifungua ile minyororo ili asome na kujua kitu gani kiliandikwa ndani, hapo ndipo aliposoma na kugundua kuwa kanisa lilikuwa likifanya mambo tofauti na biblia na ndiyo maana waliwatesa sana wakristo waliokuwa na msimamo mkali wa kufata kile kilichoandikwa kwenye biblia. Baada ya Martin luther kugundua ukweli huo akaamua kumpinga papa na kuanzisha dhehebu la lutheran(protestant).
 
Hiyo ni story ya vijiweni, siyo sababu ilomfanya Martin Luther kujitenga na ukatoliki. Kumbuka yeye alikuwa Theologian mwenye kujua kila kitu Vatican kwakuwa alikuwa ni clergyman ndani ya Vatican. Ni uongo pia kuwa Biblia ilisomwa na makleri/clergymen ama watu wenye vyeo vya kanisa.
 
Sorry!! Huyu Veronica ni nani??
 
Ni uzushi tuu kama zushi nyingine..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…