Hapa ndo unapokuja kugundua umuhimu wa church history kupitia kanisa mama Catholic church.
Papa Alexander VI (1492-1503),alikuwa papa wa kipindi muhimu katika historia ya ulaya ambacho huitwa renaissance au enlightenment ama middle age.(karne ya 14-17) kipindi hiki kilikuwa na mabadiliko kisayansi, muziki, dini, Sanaa nk. Hata waliosoma somo la historia ngazi za chuo wanakijua vizuri kipindi hiki ambacho makanisa ya kiprotestant yaliibuka kumpinga papa huyu. Kabla ya hapo kulikuwa na kanisa Moja tu. Catholic Church.
Huyu papa alikuwa na watoto wanne
-Giovanni
-Cesare/Cesar
-Lucresia
-Gioffre
Akina Martin Luther na kanisa la kiluther walianzisha kanisa kumpinga Papa huyu ambaye alikuwa na sifa nyingi chafu. Hayo ni machache, yapo mengi sana kuhusu Papa Alexander VI.