Naomba kujua kuhusu charges kati ya ATM na bank teller

Naomba kujua kuhusu charges kati ya ATM na bank teller

Top gun maverick

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2017
Posts
2,080
Reaction score
2,871
Habari wanajukwaa wakubwa shikamo wadogo zangu marahaba.

Naenda straight to the topic. Niko na ndugu yangu tunabishana eti, ATM ndio Kuna charges ndogo kwa NMB Ni 950, na kwa bank teller kwa uzoefu wangu nilioulizia watu kwa bank ya nmb Ni 6500 Tsh. Naomba nyie mchango wenu kumaliza ubishi.

Akhsante
 
Back
Top Bottom