Naomba kujua kuhusu gharama za Plastic Surgery kwa Tanzania zikoje kwa mwananchi masikini

90sgeneration

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2022
Posts
443
Reaction score
539
Wakuu habari zenu.

Samahani, ningependa kujua gharama ya kufanya plastic surgery ya bega na mkono kwa ujumla inaweza ku range kiasi gani approxmatry? na ni hospital gani wako vizuri kwenye hii plastic surgery issue?

Kuna shoga angu mdogo ake ameshaulowa na madaktari afanyiwe plastic surgery ya mkono haraka kutibu tatizo lake,au la mkono utaacha kufanya kazi.

Msaada ajue ni inaweza kurange kwenye kiasi gani ili wakakope kausha damu tu wamtibu ndugu yao😔

Ma,dr msaada tafadhari
 
Huwezi kupata jibu la gharama la uhakika kwasababu inategemea na procedure yenyewe ina involve vitu gani?

Chakufanya wewe fanya booking ya consultation na surgeon kisha ataenda akishamwangalia ndio anampa makadirio ya gharama na alternatives.
 
nimekuelewa mkuu, na thats why hawataki wajue exactly amount, ila angalau tu wajue inaweza kufika au kutozidi how much ili wakakope kiasi kitakachoweza kusolve tatizo, ikipungua itakua vizuri, lakini isizidi wakashindwq
 
Huwezi kupata jibu la gharama la uhakika kwasababu inategemea na procedure yenyewe ina involve vitu gani?

Chakufanya wewe fanya booking ya consultation na surgeon kisha ataenda akishamwangalia ndio anampa makadirio ya gharama na alternatives.
au at least wawe na kiasi gani makadilio unayoona inaweza kufaa kwenda nayo hospital?
 
Sijawahi kufanya, ninachokuambia mimi ni general knowledge tu ya namna mambo yanavyopaswa kwenda. Maana najua huwezi kukadiria gharama za upasuaji kabla hujafanya consultation na surgeon.

Labda subiri waje wengine watakupa muongozo mkuu.
 
Back
Top Bottom