Pole sana mkuu sasa hapa huoni kwamba kikulacho kinguoni mwako??. In short ufungaji wa hiyo GPS ndio mchawi au chanzo cha kuitia ugonjwa gari yako.kumbuka hiyo gps sio original ya kutoka na gari bali ya kufunga na wafungaji wengi wao wanachojua ni kitu anachokifunga kinahitaji nn na nn kama ni power moto direct na switch on atatafuta inapopatikana na kuunga ilimladi anachokifunga kimefanya kazi bila kutambua au kujua hapo alipochukulia huo moto au kuunga waya wake pana kazi gani shida nyingi ndio huanzia hapo.. au unakuta sawa kachukua power kwenye waya flani lkn kwa kuwa hiyo gps aliyofunga ni circuit nyingine ambayo inajitegemea unakuta wakati inafanya kazi huwa kuna kuwa na current flani au signal inaludisha na kuanza kuleta shida kama hizo..Habarini wadau, natumai Ijumaa yetu inakuja vizuri.
Natumia gari aina ya Mitsubishi Outlander, week iliyopita nilijaribu kuifunga GPS kwa ajili ya kuikodisha ila tangu ifungwe GPS imeanza kuonyesha tofauti fulani fulani kwenye dashboard yake.
Inabadilika kutoka 2 wheels kwenda 4 wheels wakati ikiwa kwenye mwendo na baadae inarudi automaticaly.
Sasa kwa wajuzi wa mambo haya naomba msaada wa nini cha kufanya kabla sijaanza kuwapelekea mafundi wetu hawa.
NB: Tatizo limeanza tu baada ya kufunga GPS.