Naomba kujua kuhusu hawa-:

Naomba kujua kuhusu hawa-:

Bonya

Member
Joined
Oct 3, 2012
Posts
14
Reaction score
4
hi.jf member naomba kujua nn hatma ya walokuwa na defects kwenye loans app wakaambiwa warekebishe wapewe loan vp mbona bodi kmya au ndo wamewapotezea? Mwenye kujua kuhusiana na hili a2juze.. Thanx.!
 
mi mwenyewe inanihusu sana, leo nimetoka loan board nikajibiwa kuwa majina yetu yatatolewa mwishoni mwa mwezi huu so tuendelee kusubiri
 
mi mwenyewe inanihusu sana, leo nimetoka loan board nikajibiwa kuwa majina yetu yatatolewa mwishoni mwa mwezi huu so tuendelee kusubiri

dah! Pole sana lakin km ndo mwisho wa mwez huu na asilimia kubwa ya vyuo vinafungua mwanzo wa mwez huu so 2taishi vp huko vyuoni.? Jaman loan board tuhurumieniii..!
 
Back
Top Bottom