Naomba kujua kuhusu kozi ya procurement and supply

Inahusiana na nini hasa zaidi
Kijana angu tafadhali usisome hyo kozi japo kupata Kaz utapifa ila nakushauri tu nennda kasome account Kisha Soma CPA utakuja kunishukuru hapahap ila Kama unataoa majanga kasome hayo makitu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Motivesheni spika 😂

Sasa unamwambia akasome Acc unayajua matokeo yake?? Kama ni team Mashairi ya chekacheka?
Hiyo Acc anaisomaje!!
 
Kijana angu tafadhali usisome hyo kozi japo kupata Kaz utapifa ila nakushauri tu nennda kasome account Kisha Soma CPA utakuja kunishukuru hapahap ila Kama unataoa majanga kasome hayo makitu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kusomea Account anaweza hiyo CPA kupata nayo ni habari nyingine alafu mambo huwa yanabadilika
 
Kijana angu tafadhali usisome hyo kozi japo kupata Kaz utapifa ila nakushauri tu nennda kasome account Kisha Soma CPA utakuja kunishukuru hapahap ila Kama unataoa majanga kasome hayo makitu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Procurement ni kama BA, HR yoyote anasoma…

Acc, Eng, ni tahasusi husika.. sio gombania goal hizo

Stiki na uzi… acheni kushauri sana watu mtawachanganyaa
 
Back
Top Bottom