Naomba kujua kuhusu leseni ya biashara ya mtandaoni (Online Business)

Stevow12

Senior Member
Joined
May 20, 2012
Posts
116
Reaction score
25
Habari,

Swali langu ni uhitaji wa kujua kama unataka kutengeneza online service yako mwenyewe hapa Tanzania kama ya Paypal, je unahitaji kupata leseni ya biashara ya aina gani na gharama zake zinaweza kuwa kiasi gani.

Mfano wale Nala Money wamefungua kampuni tu ya kawaida au kuna regulations tofauti zinazo guide biashara za namna hiyo hapa Tanzania.

Thanks
 
Vipi kiongozi ulifanikiwa kupata maelezo kuhusiana na hii kitu?
 
Back
Top Bottom