Habari,
Swali langu ni uhitaji wa kujua kama unataka kutengeneza online service yako mwenyewe hapa Tanzania kama ya Paypal, je unahitaji kupata leseni ya biashara ya aina gani na gharama zake zinaweza kuwa kiasi gani.
Mfano wale Nala Money wamefungua kampuni tu ya kawaida au kuna regulations tofauti zinazo guide biashara za namna hiyo hapa Tanzania.
Thanks