Naomba kujua kuhusu madini aina ya Azurite

Naomba kujua kuhusu madini aina ya Azurite

ruhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
4,368
Reaction score
6,661
Naomba kujua juhusu madini jamii ya Copper kama Azurite.

  1. Upatikanaji wake hapa Tanzania
  2. Uchimbaji wake
  3. Matumizi yake
  4. Bei au thamani yake
  5. Wanunuzi wake wakuu hapa Tanzania
  6. Madhara yake

Natanguliza shukrani kwenu
 
Back
Top Bottom