Red Giant JF-Expert Member Joined Mar 9, 2012 Posts 15,650 Reaction score 21,014 Sep 20, 2021 #1 Habari wakuu. Nimekuwa nikisikia kuhusu kuwepo kwa hii sheria ya uzembe na uzururaji miaka ya huko nyuma. Nasikia sasa imebadilika. Naomba kufahamu sheria hii ilivyoanza na jinsi ilivyosimamiwa. Natanguliza shukrani.
Habari wakuu. Nimekuwa nikisikia kuhusu kuwepo kwa hii sheria ya uzembe na uzururaji miaka ya huko nyuma. Nasikia sasa imebadilika. Naomba kufahamu sheria hii ilivyoanza na jinsi ilivyosimamiwa. Natanguliza shukrani.
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 35,566 Reaction score 104,386 Sep 20, 2021 #2 Mi ninavyojua Askari usiku wanatembea na Cruiser mkonge lao wanapita vijiwe vya wadada poa, hafu wanawapa izo case.
Mi ninavyojua Askari usiku wanatembea na Cruiser mkonge lao wanapita vijiwe vya wadada poa, hafu wanawapa izo case.
kidadari JF-Expert Member Joined Jul 26, 2012 Posts 8,646 Reaction score 9,623 Sep 20, 2021 #3 Hata sasa inatumika ila inatumika kihuni tuu haina kichwa wala miguu.. Wakikuona hawakuelewi elewi wanakusomba mpaka kituoni ila ukiwa hata na buku 3 wanakushusha njiani. Kitengo kama.cha kupata za kubrashia viatu
Hata sasa inatumika ila inatumika kihuni tuu haina kichwa wala miguu.. Wakikuona hawakuelewi elewi wanakusomba mpaka kituoni ila ukiwa hata na buku 3 wanakushusha njiani. Kitengo kama.cha kupata za kubrashia viatu
Narubongo JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 2,768 Reaction score 2,767 Sep 20, 2021 #4 Patrol
MLIMAWANYOKA JF-Expert Member Joined Oct 25, 2019 Posts 777 Reaction score 2,713 Sep 20, 2021 #5 mtu ana zurura kwenye nchi yake... je ni kosa?