Naomba kujua kuhusu uzalishaji wa sabuni za magadi

Kileo seif

Member
Joined
Apr 13, 2013
Posts
57
Reaction score
26
Habari zenu Wana jamii Forum mimi mjasiliamali na Kuna fursa nimeona nataka niifanyie kazi katika eneo fulani mkoa wa tanga wanapenda sana kutumia sabuni za magadi na majivu ila upatikanaji wake ni wa shida mara Nyingi huwa Wana tumia zinazotoka jijini Dar es salaam sasa nataka kuwasogezea Huduma hii ya sabuni hizo Je Nita anzaje kuzalisha sabuni hizo? Kwa anaefahamu sehemu Naweza kupata elimu Ya uzalishaji wa sabuni hizo anifahamishe tafadhar pia kama Kuna mwenye ujuzi na mambo hayo anifahamishe kwamba mahitaji yetu yakoje nini na nini kinahitajika niweze kufanikisha zoezi hilo? Ahsanteni naombauushauri wenu
be42992d1d678c73d054916dd4079b04.jpg
 
Kwa mtaalamu anaejua kutengeneza sabuni hizi tuwasiliane jamni
 
Mimi najua namba ya kutengeneza,ipo shulingi ngapi hata mimi nililipia ,njoo inbox,nukupe maujuzi,raha ya elimu uitafute tena kwa gharama
 
Huko Tanga Hakuna Magereza mpaka watu wateseke na hizo sabuni.?
 
Back
Top Bottom