Kileo seif
Member
- Apr 13, 2013
- 57
- 26
Habari zenu Wana jamii Forum mimi mjasiliamali na Kuna fursa nimeona nataka niifanyie kazi katika eneo fulani mkoa wa tanga wanapenda sana kutumia sabuni za magadi na majivu ila upatikanaji wake ni wa shida mara Nyingi huwa Wana tumia zinazotoka jijini Dar es salaam sasa nataka kuwasogezea Huduma hii ya sabuni hizo Je Nita anzaje kuzalisha sabuni hizo? Kwa anaefahamu sehemu Naweza kupata elimu Ya uzalishaji wa sabuni hizo anifahamishe tafadhar pia kama Kuna mwenye ujuzi na mambo hayo anifahamishe kwamba mahitaji yetu yakoje nini na nini kinahitajika niweze kufanikisha zoezi hilo? Ahsanteni naombauushauri wenu