Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza tuanzie hapa, je una sifa za kutoza VAT? kwani sio kila mfanya biashara ana sifa hizo, na kama una sifa hizo lazima utakuwa na certificate toka TRA, inayokutambulisha. kama unayo bei zako zote za bidhaa lazima zijumuishe kodi ya ongezeko la thamani(VAT) na kama unatumia mashine za EFD, hicho kiwango cha VAT, kitaonyeshwa hapo kwenye risiti na hicho ni mali ya TRA, kwani wewe unaikusanya kwa niaba yao!!Je, ninapouza bidhaa kwa mfano simu au laptpop, nitatoa risiti ambayo atapewa mteja, je mteja bei ninayomtajia mteja niunganishe na VAT humohumo au wadau mnafanyaje?
Je una VRN, yaani Vat Registration Number?, ili umtoze mteja VAT ni lazima uwe Vat registered otherwise huruhusiwi kumtoza mteja Vat kwani hutoweza kuisubmit TRA,so utakua umemuibia mteja na serikali.
Masharti au vigezo mojawapo ili uwe Vat registered ni lazima uwe na mauzo/turnover ya million 100 per year or million 50 per half a year(6 months). Pia unaweza tembelea TRA kwa elimu zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimejifunza kitu.. thanks dearJe una VRN, yaani Vat Registration Number?, ili umtoze mteja VAT ni lazima uwe Vat registered otherwise huruhusiwi kumtoza mteja Vat kwani hutoweza kuisubmit TRA,so utakua umemuibia mteja na serikali.