Tata ya bana
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 304
- 369
Uhusiano uliopo ni kama uhusiano wa viwavi jeshi (armyworm) na majeshi yetu.Wakuu naomba kujua,Kuna hili kanisa laitwa jeshi la wokovu lipo hasa DSM.
Naomba kujua je wanna uhusiano wowote na majeshi yetu?nauliza hivyo Kuna siku kupitia redio nilimsikia mtumishi anaongoza Ibadan anaitwa meja---!mwenye uelewa atufungue kidogo!;
Dogo mi ni afisa kipenyo, TISS, agent 007 , wengine huniita James Bond kwa kufananisha matukio yangu na yake.Ni sawa na kuuliza meja kunta au afande sele wana uhusiano na majeshi yetu :'''''
Jibu ni ndio maana meja kunta ni meja kule jeshini
Pia afande ni afande pale vingunguti
Kuhusu jeshi la uwokovu Vishu Mtata ni mmoja wapo ngoja atujibu
πππππππAgent bavo sioDogo mi ni afisa kipenyo, TISS, agent 007 , wengine huniita James Bond kwa kufananisha matukio yangu na yake.
Ila wewe niite agent Vishu Mtata 007 (daboziroseven)
Cc Intelligent businessman
bro alex
Noma sana waliokosa adabu kama Intelligent businessman huniita Boyka wa vingungutiπππππππAgent bavo sio
Tamka dabol o sevenDogo mi ni afisa kipenyo, TISS, agent 007 , wengine huniita James Bond kwa kufananisha matukio yangu na yake.
Ila wewe niite agent Vishu Mtata 007 (daboziroseven)
Cc Intelligent businessman
bro alex
Hiyo ni yako sasa, yangu ni daboziroseven.Tamka dabol o seven
Huwenda kweli we ni boyka wa huko na huku ulongoni wanakuita nani mkuuNoma sana waliokosa adabu kama Intelligent businessman huniita Boyka wa vingunguti
Ipi hiyo Ulongoni A au B??Huwenda kweli we ni boyka wa huko na huku ulongoni wanakuita nani mkuu
Kaka huku ulongoni A banaIpi hiyo Ulongoni A au B??
Huko sitaki kuwasikia kabisa walininyima mkopo wa vijana miaka kadhaa nyuma.Kaka huku ulongoni A bana
Aisee usije ukalisogelea hilo jeshi. Kwa Kisambaa linaitwa Salvation Army.Wakuu naomba kujua,Kuna hili kanisa laitwa jeshi la wokovu lipo hasa DSM.
Naomba kujua je wanna uhusiano wowote na majeshi yetu?nauliza hivyo Kuna siku kupitia redio nilimsikia mtumishi anaongoza Ibadan anaitwa meja---!mwenye uelewa atufungue kidogo!;
Waliona kabisa una hata kile cha kuweka kama dhamana bana πππππππHuko sitaki kuwasikia kabisa walininyima mkopo wa vijana miaka kadhaa nyuma.
Haitamkwi hivyo.. kweli wewe siyo orijinoHiyo ni yako sasa, yangu ni daboziroseven.
Wewe unalazimisha yako iwe yangu, hiyo yao hii ni yangu.Haitamkwi hivyo.. kweli wewe siyo orijino