naomba kujua,Kuna hili kanisa laitwa jeshi la wokovu lipo hasa Dar es Salaam

naomba kujua,Kuna hili kanisa laitwa jeshi la wokovu lipo hasa Dar es Salaam

Hili ni kanisa kabisa, lilianzia ulaya huko. Wanajihusisha na huduma za kujitolea kwa jamii, mfano kulea wazee, yatima na kusomesha walemavu.

Muanzilishi wao anaitwa WILLIAM BOOTH. Hapa Tanzania lilianzishwa mwaka 1933 mkoani Tabora.

Limeenea Duniani kote, hapa Afrika mashariki lipo kila Nchi. Tanzania kwa upekee, makao makuu yake yapo Dar es salaam, karibu na kambi ya JKT Mgulani kama unapita bara bara ya kilwa road.

Kama haitoshi, cheo cha mchungaji wa kanisa hili kimepangwa ktk ngazi za vyeo vya kijeshi, mgano reutenant, cadet, major, D.o, D.c nk

Hao ndio, "The salvation Army".
Mkuu Asante kwa ufafanuzi.nimekubali busara yako.ila hii jamii forum sio kama Ile ya mwanzo,utoto mwingi angalia michango ya huko juu ni hopeless kabisa.kama mtu hujui kitu kwanini asikae kmya???
 
Hivi hili kanisa mbona huwa naona kama lipo kimya sana. Sijawahi kukutana nao mitaani wakifanya uinjilisti ili waongeze waamini
 
Back
Top Bottom