Naomba kujua kwanini Idi Amini aliungwa mkono sana Muammar Gaddafi

Naomba kujua kwanini Idi Amini aliungwa mkono sana Muammar Gaddafi

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Kuna mambo mengine ukisikia mitaani unaweza kusema wanawatetea watu ambao hata wajawahi kuwepo kwenye hizo nchi.

Yani mfano mimi ni muone putin au marcon kuwa watu wenye haki wakati sipo nchini mwao wala sio raia wao ningekuwa raia wa huko ndio ningejua.

Sasa kwenye vijiwe na watu wengine ukisikia wanavyo zungumzia gadafi unaweza kusema yule bwana alikuwa safi sana.

Usafi wake ulikuwa hupi mpaka kumpa wanajeshi waje kutupiga tanzania ni kwamba alimuunga mwenye msimamo mwenzake au?.kwa huku kuliko hakuna msimamo ndugu yake
 
Back
Top Bottom