Naomba kujua maana za maneno haya yanayotumika sana Instagram

Naomba kujua maana za maneno haya yanayotumika sana Instagram

PAMBE - Nahisi kama kitu Kunoga kuwa kizuri au on FLEEK sina uhakika sana....Limetokana na wimbo wa Christian Bella.
 
Moja ya maneno ninayoyaona sana yakitumika na baadhi ya watu mitandaoni hata baadhi ya wasanii pia...!!

DAMSHI
PAMBE
TUNUNU
CHUCHUNGE
TUKINAO
unajua maana ya misimu kwenye kiswahili? sarufi
 
Back
Top Bottom