Naomba kujua madhara ya X-Ray kwa mjamzito

Kaina

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2015
Posts
380
Reaction score
326
Habari za asubuhi wakuu,

Naombeni mnipe msaada kwa hili maana nlienda hospital na my ex wiki ilyopita akakubaki kupigwa X-Ray wakat najua kabisa ana ujauzito wa jamaa aliyenisaliti nae. Wakati tunaachana alinijibu hovyo nikampa mkong'oto uliosababisha maumivu ya mbavu. Alipoenda polisi tulikubaliana nimpe sapot kimatibabu mpaka apone kabisa ndo maana nlienda nae hospital.

Nina mawasiliano yao ya kila siku baina yao na dem anamwambia jamaa kwamba hawez kuhudumia mimba kwa hiyo asilaumiwe. Dem anajuta anamwambia angejua asingeachana na mimi kwa ajili yake. Anamwambia ameamini usiache mbachao kwa msala upitao. Na kuna kila dalili ya kuachana maana alishaanza kuwainform watu wa karibu wa jamaa kwamba hamtaki tena na mi anawasiliana na mimi mara kwa mara akidhan ntarud kwake ila ashachelewa maana aliniumiza sana. Coz huyo jamaa ni rafiki yangu.

Back to the topic. Kilichonishangaza tulipofika kwa doctor alitwambua X-Ray hatakiwi kupigwa mjamzito hivyo kama ana mimba au ana mashaka aseme mapema asipigwe. Dem akakataa akasema hana mimba. Nikashtuka sana. Doc akamuuliza una uhakika? dem akasema ndio hana mimba! Tulipoenda chumba cha X-Ray jamaa muhusika akamuuliza tena dem kama ana mimba au ana mashaka dem akasema tena hana mimba. Jamaa akatwambia X-Ray ina madhara sana kwa mimba lakini dem akasema hana mimba! Akavua nguo akapigwa X-Ray. Kiukweli nikijikuta napagawa. Nikajiuliza maswali huyu dem yuko tayari kuharibu mimba ya jamaa ili awe na mimi (japo siwez kumrudia) au anamtapeli jamaa kakini hana mimba? Ila kwa jinsi ninavyomfahamu na ukizingatia nliwah kumpa mimba ikaharibika ikiwa na miez mi4 nikimuangalia naona kabisa mimba anayo coz dalili zote za ile mimba ya kwanza anazo.

Naombeni kwa wale wataalam mnisaidie madhara ya X-Ray kwa mjamzito nione madhara yanayoweza kumpata. Pia kwa wataalamu wa mahusiano mnamjaji vipi huyu mwanamke?

Ahsanteni
 
Mimba ya muda gani na x-ray alipigwa ya eneo gani?. Madhara ya x-ray (any ionizing radiations) inategemea na stage ya foetus ?.
 
Mimba ya miez kama mi3 na X-Ray ni ya kifuani
 
Mionzi yoyote ile husababisha madhara makubwa tu mwilini na haijalishi kama wewe ni mjazito au ala!

Nafahamu mkuu ila nlitaka kujua aina ya madhara yenyewe specifically kwa mjamzito. Maana kwa mwingine yeyote yanaweza kuleta impact baada ya muda mrefu
 
Back
Top Bottom