Habari wadau,
Mimi kiasili nina ngozi nyeupe lakini hivi karibuni ngozi yangu ya usoni imeanza kupotea hivi, imekuwa kama maji ya kunde hivi, wakati kwingine kote imebaki kuwa ngozi yangu nyeupe. Kwahiyo naombeni msaada, ni mafuta gani nitumie kwa usoni nirudishe ngozi yangu nyeupe?