Naomba kujua mafuta mazuri ya kurudisha ngozi

Naomba kujua mafuta mazuri ya kurudisha ngozi

AgnessM Nina miaka Kama 2 sijawahi kupaka mafuta usoni so nitajie mafuta mazuri niyatumie nirudishe ngozi yangu ya usoni
Ss 2 yrs hupaki kitu what do u expect?.

Tafuta sunscreen tu upake
Nenda duka la vipodozi lenye options nyingi mfano SH AMON ama Supermarket baadhi

Sunscreen lotion
Itakukinga dhidi ya jua hivyo kukurudishia ung'avu wa ngozi na nyingi navojua hazina mafuta hivyo ni friendly kwa mtu mwenye oily skin
 
Rangi ya uso haiwezi kufifia unless unafanya kazi ngumu za juani kwa muda mwingi mfano ni kulima.

Na tena itafifia kipindi hicho tu na ukiacha kufanya hiyo kazi kwa kipindi kifupi sana unarudi kuwa kama ulivyokuwa haihitaji utumie chochote!

Am writing by experience, cha kukushauri kama huo uweupe wako ni wa asili tulia utang'aa tena ukiacha kushinda juani ila kama sio wa asili tumia mafuta yanaitwa Rinju.
nyongeza kwa kumsaidia ile org maana zipo bandia na ile yenyewe
 
Daaah.... Mpaka umepoteza ngozi ya usoni....ulikuwa unafanywa nini?
 
Mimi kama mdau wa masuala ya urembo ningependa kujua ngozi yako ni kavu ama ya mafuta?

Kutokana na maelezo yako nime-notice wewe si mweupe ila una rangi mbili sehemu za mwili ambazo ziko covered ni nyeupe na usoni ni mweusi kama alivyo Magufuli sivyo? Kama jibu ni ndio solution ni rahisi sana na utabakiwa na rangi moja.
so you want to tell us that you have already uncovered magufuli?
 
Wew mtoto Wakiume, Urudishe Ngozi imepotea?
Wew umesikia wapi??

Sikia tafuta hela utaniambia....
Maisha yenyew yanakupendezesha...
 
Habari wadau

Me kiasili Nina ngozi nyeupe lakini hiv karibuni ngozi yangu ya usoni imeanza kupotea hiv imekuwa Kama maji ya kunde hiv wakati kwingine kote imebaki kuwa ngozi yangu nyeupe so naombeni msaada Ni mafuta gani nitumie kwa usoni nirudishe ngozi yangu nyeupe?

Tumia mafuta yoyote ya mwilini yenye (Sun Protection Factor) SPF 30 au 50. Na ni muhimu kutumia kila siku inasaidia kulinda ngozi kutokana na jua.

Hio rangi kubadilika ni mwili unatoa kinga asili inayoitwa melanin hili kulinda ngozi yako kutokana na jua.
 
Back
Top Bottom