Tumia mafuta ya nyonyo au samona jelly.Habari wadau
Me kiasili Nina ngozi nyeupe lakini hiv karibuni ngozi yangu ya usoni imeanza kupotea hiv imekuwa Kama maji ya kunde hiv wakati kwingine kote imebaki kuwa ngozi yangu nyeupe so naombeni msaada Ni mafuta gani nitumie kwa usoni nirudishe ngozi yangu nyeupe?
Habari wadau

Duhhh ishu inaweza kuwa sio mafuta pengine unatembea sana juani nayo n sababuHabari wadau
Me kiasili Nina ngozi nyeupe lakini hiv karibuni ngozi yangu ya usoni imeanza kupotea hiv imekuwa Kama maji ya kunde hiv wakati kwingine kote imebaki kuwa ngozi yangu nyeupe so naombeni msaada Ni mafuta gani nitumie kwa usoni nirudishe ngozi yangu nyeupe?
Latrice nimeshakuambia me Ni mweupe kote ila kwa upande wa uso rangi yangu(weupe) umeaanza kupotea na Nina ngozi ya mafutaMimi kama mdau wa masuala ya urembo ningependa kujua ngozi yako ni kavu ama ya mafuta?
Kutokana na maelezo yako nime-notice wewe si mweupe ila una rangi mbili sehemu za mwili ambazo ziko covered ni nyeupe na usoni ni mweusi kama alivyo Magufuli sivyo? Kama jibu ni ndio solution ni rahisi sana na utabakiwa na rangi moja.
Toa solutionAseee[emoji15][emoji15][emoji849]
Rangi ya uso haiwezi kufifia unless unafanya kazi ngumu za juani kwa muda mwingi mfano ni kulima.Latrice nimeshakuambia me Ni mweupe kote ila kwa upande wa uso rangi yangu(weupe) umeaanza kupotea na Nina ngozi ya mafuta
Latrice nimeshakuambia me Ni mweupe kote ila kwa upande wa uso rangi yangu(weupe) umeaanza kupotea na Nina ngozi ya mafuta
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]chinga au?Duhhh ishu inaweza kuwa sio mafuta pengine unatembea sana juani nayo n sababu
Weupo wangu Ni wa asili mbona mzee uniamini au mpaka nikutumie picha?Rangi ya uso haiwezi kufifia unless unafanya kazi ngumu za juani kwa muda mwingi mfano ni kulima.
Na tena itafifia kipindi hicho tu na ukiacha kufanya hiyo kazi kwa kipindi kifupi sana unarudi kuwa kama ulivyokuwa haihitaji utumie chochote!
Am writing by experience, cha kukushauri kama huo uweupe wako ni wa asili tulia utang'aa tena ukiacha kushinda juani ila kama sio wa asili tumia mafuta yanaitwa Rinju.
Cjui mm[emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]chinga au?
Habari ya leo dada mazuriCjui mm[emoji23]
Nzr vpHabari ya leo dada mazuri
Poa sanaNzr vp
We ke au mePoa sana