Naomba kujua mafuta mazuri ya kurudisha ngozi

AgnessM Nina miaka Kama 2 sijawahi kupaka mafuta usoni so nitajie mafuta mazuri niyatumie nirudishe ngozi yangu ya usoni
Ss 2 yrs hupaki kitu what do u expect?.

Tafuta sunscreen tu upake
Nenda duka la vipodozi lenye options nyingi mfano SH AMON ama Supermarket baadhi

Sunscreen lotion
Itakukinga dhidi ya jua hivyo kukurudishia ung'avu wa ngozi na nyingi navojua hazina mafuta hivyo ni friendly kwa mtu mwenye oily skin
 
nyongeza kwa kumsaidia ile org maana zipo bandia na ile yenyewe
 
Daaah.... Mpaka umepoteza ngozi ya usoni....ulikuwa unafanywa nini?
 
so you want to tell us that you have already uncovered magufuli?
 
Wew mtoto Wakiume, Urudishe Ngozi imepotea?
Wew umesikia wapi??

Sikia tafuta hela utaniambia....
Maisha yenyew yanakupendezesha...
 

Tumia mafuta yoyote ya mwilini yenye (Sun Protection Factor) SPF 30 au 50. Na ni muhimu kutumia kila siku inasaidia kulinda ngozi kutokana na jua.

Hio rangi kubadilika ni mwili unatoa kinga asili inayoitwa melanin hili kulinda ngozi yako kutokana na jua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…