Mtumishiwetu
Senior Member
- Jul 13, 2022
- 196
- 346
Yupo Dr. Musukuma na Tabasamu!
Mheshimiwa Spika, napenda kuwashukuru Wajumbe wote wa Kamati ya Nishati na Madini kwa ushirikiano wao wakati wa kutekeleza majukumu ya Kamati. Kwa heshima kubwa naomba kuwatambua kwa majina yao kama ifuatavyo:-
1. Mhe. Dunstan Luka Kitandula, Mb - Mwenyekiti
2. Mhe. Seif Khamis Said Gulamali, Mb- M/Mwenyekiti
3. Mhe. Alaudin Hasham Salim, Mb - Mjumbe
4. Mhe. Amina Bakari Yussuf, Mb - Mjumbe
5. Mhe. Catherine Valentine Magige, Mb- Mjumbe
6. Mhe. Hamis Mwagao Tabasam, Mb - Mjumbe
7. Mhe. Iddi Kassim Iddi, Mb - Mjumbe
8. Mhe. Jesca David Kishoa, Mb - Mjumbe
9. Mhe. Jesca Jonathan Msambatavangu, Mb - Mjumbe
10. Mhe. John Marko Sallu, Mb - Mjumbe
11. Mhe. Juliana Didas Masaburi, Mb - Mjumbe
12. Mhe. Katani Ahmad Katani, Mb - Mjumbe
13. Mhe. Kenneth Ernest Nollo, Mb - Mjumbe
14. Mhe. Mariam Ditopile Mzuzuri, Mb - Mjumbe
67
15. Mhe. Dkt. Mathayo David Mathayo, Mb- Mjumbe
16. Mhe. Mussa Omari Salim,Mb - Mjumbe
17. Mhe. Musukuma Joseph Kasheku, Mb - Mjumbe
18. Mhe. Nicodemas Henry Maganga, Mb - Mjumbe
19. Mhe. Nusrat Shaaban Hanje, Mb - Mjumbe
20. Mhe. Saada Mansour Hussein, Mb - Mjumbe
21. Mhe. Robert Chacha Maboto, Mb - Mjumbe
22. Mhe. Eng. Stella Martin Manyanya, Mb - Mjumbe
23. Mhe. Ussi Salum Pondeza, Mb - Mjumbe
24. Mhe. Ameir Abdallah Ameir, Mb - Mjumbe
25. Mhe. Josephine Johnson Genzabuke, Mb - Mjumbe
26. Mhe. Mohamed Said Issa, Mb - Mjumbe
27. Mhe. Mwita Mwikabe Waitara, Mb - Mjumbe
Umeandika upumbavu mtupu. Hakuna sehemu Makamba kasema kamati ni wapuuzi. Hizo chuki zako peleka hukohuko.Wana bodi siku ya jana kulizuka mjadala mkubwa wa kitaifa humu ndani kuhusiana na kauli nzito ya Waziri wa Nishati, Januari Makamba ya kuwaita wabunge wajumbe wa Kamati ya Nishati ni wapuuzi kwa kuhoji suala la kuchelewa kwa Mradi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere na tatizo la kukatika kwa umeme mara kwa mara nchini
Kwa heshima na taadhima kubwa naomba kuyafahamu majina ya wabunge hao ambao ni wajumbe wa Kamati ya Nishati wanaoitwa wapuuzi na Waziri Makamba.
Ili nasi tuchambue huo upuuzi wao
Nadhani ni muhimu kuelewa kwanza kabla hujaleta utetezi sikiliza vizuri hiyo Video yeye mwenyewe amesema wanaohoji upuuzi mtupu ndio sasa iliyohoji ni Kamati ya Bunge ya Nishati na taarifa yake ilipostiwa humu kuhusu Bwawa na kukatika kwa umeme, usikubali kufanya uchambuzi kabla hujasoma na kusikilizaUmeandika upumbavu mtupu. Hakuna sehemu Makamba kasema kamati ni wapuuzi. Hizo chuki zako peleka hukohuko.
Kumbe hadi Mwita Waitara yumo? na Jesca Jonathan Msambatavangu Mbunge wa Iringa ni wajumbeMheshimiwa Spika, napenda kuwashukuru Wajumbe wote wa Kamati ya Nishati na Madini kwa ushirikiano wao wakati wa kutekeleza majukumu ya Kamati. Kwa heshima kubwa naomba kuwatambua kwa majina yao kama ifuatavyo:-
1. Mhe. Dunstan Luka Kitandula, Mb - Mwenyekiti
2. Mhe. Seif Khamis Said Gulamali, Mb- M/Mwenyekiti
3. Mhe. Alaudin Hasham Salim, Mb - Mjumbe
4. Mhe. Amina Bakari Yussuf, Mb - Mjumbe
5. Mhe. Catherine Valentine Magige, Mb- Mjumbe
6. Mhe. Hamis Mwagao Tabasam, Mb - Mjumbe
7. Mhe. Iddi Kassim Iddi, Mb - Mjumbe
8. Mhe. Jesca David Kishoa, Mb - Mjumbe
9. Mhe. Jesca Jonathan Msambatavangu, Mb - Mjumbe
10. Mhe. John Marko Sallu, Mb - Mjumbe
11. Mhe. Juliana Didas Masaburi, Mb - Mjumbe
12. Mhe. Katani Ahmad Katani, Mb - Mjumbe
13. Mhe. Kenneth Ernest Nollo, Mb - Mjumbe
14. Mhe. Mariam Ditopile Mzuzuri, Mb - Mjumbe
67
15. Mhe. Dkt. Mathayo David Mathayo, Mb- Mjumbe
16. Mhe. Mussa Omari Salim,Mb - Mjumbe
17. Mhe. Musukuma Joseph Kasheku, Mb - Mjumbe
18. Mhe. Nicodemas Henry Maganga, Mb - Mjumbe
19. Mhe. Nusrat Shaaban Hanje, Mb - Mjumbe
20. Mhe. Saada Mansour Hussein, Mb - Mjumbe
21. Mhe. Robert Chacha Maboto, Mb - Mjumbe
22. Mhe. Eng. Stella Martin Manyanya, Mb - Mjumbe
23. Mhe. Ussi Salum Pondeza, Mb - Mjumbe
24. Mhe. Ameir Abdallah Ameir, Mb - Mjumbe
25. Mhe. Josephine Johnson Genzabuke, Mb - Mjumbe
26. Mhe. Mohamed Said Issa, Mb - Mjumbe
27. Mhe. Mwita Mwikabe Waitara, Mb - Mjumbe
Na Eng. Stella Manyanya pia ni mjumbe!Kumbe hadi Mwita Waitara yumo? na Jesca Jonathan Msambatavangu Mbunge wa Iringa ni wajumbe
Wachukiwe wasambaa kwa sababu gani mbona hoja dhaifu sana hii.Makamba kaeleweka vizuri ni chuki tu dhidi ya Wasambaa.
Mbona wengi hivyo? Hata 5 si wangetosha tu!Mheshimiwa Spika, napenda kuwashukuru Wajumbe wote wa Kamati ya Nishati na Madini kwa ushirikiano wao wakati wa kutekeleza majukumu ya Kamati. Kwa heshima kubwa naomba kuwatambua kwa majina yao kama ifuatavyo:-
1. Mhe. Dunstan Luka Kitandula, Mb - Mwenyekiti
2. Mhe. Seif Khamis Said Gulamali, Mb- M/Mwenyekiti
3. Mhe. Alaudin Hasham Salim, Mb - Mjumbe
4. Mhe. Amina Bakari Yussuf, Mb - Mjumbe
5. Mhe. Catherine Valentine Magige, Mb- Mjumbe
6. Mhe. Hamis Mwagao Tabasam, Mb - Mjumbe
7. Mhe. Iddi Kassim Iddi, Mb - Mjumbe
8. Mhe. Jesca David Kishoa, Mb - Mjumbe
9. Mhe. Jesca Jonathan Msambatavangu, Mb - Mjumbe
10. Mhe. John Marko Sallu, Mb - Mjumbe
11. Mhe. Juliana Didas Masaburi, Mb - Mjumbe
12. Mhe. Katani Ahmad Katani, Mb - Mjumbe
13. Mhe. Kenneth Ernest Nollo, Mb - Mjumbe
14. Mhe. Mariam Ditopile Mzuzuri, Mb - Mjumbe
67
15. Mhe. Dkt. Mathayo David Mathayo, Mb- Mjumbe
16. Mhe. Mussa Omari Salim,Mb - Mjumbe
17. Mhe. Musukuma Joseph Kasheku, Mb - Mjumbe
18. Mhe. Nicodemas Henry Maganga, Mb - Mjumbe
19. Mhe. Nusrat Shaaban Hanje, Mb - Mjumbe
20. Mhe. Saada Mansour Hussein, Mb - Mjumbe
21. Mhe. Robert Chacha Maboto, Mb - Mjumbe
22. Mhe. Eng. Stella Martin Manyanya, Mb - Mjumbe
23. Mhe. Ussi Salum Pondeza, Mb - Mjumbe
24. Mhe. Ameir Abdallah Ameir, Mb - Mjumbe
25. Mhe. Josephine Johnson Genzabuke, Mb - Mjumbe
26. Mhe. Mohamed Said Issa, Mb - Mjumbe
27. Mhe. Mwita Mwikabe Waitara, Mb - Mjumbe
Umeuliza swali la Msingi Sana!Nani kati ya hawa wana utaalamu au uzoefu nje ya siasa katika sekta ya nishati??
Kati ya watu wenye viburi kwenye nchi hii makamba yupo top 3 ila Jiwe alikiwa kiboko yakeNadhani ni muhimu kuelewa kwanza kabla hujaleta utetezi sikiliza vizuri hiyo Video yeye mwenyewe amesema wanaohoji upuuzi mtupu ndio sasa iliyohoji ni Kamati ya Bunge ya Nishati na taarifa yake ilipostiwa humu kuhusu Bwawa na kukatika kwa umeme, usikubali kufanya uchambuzi kabla hujasoma na kusikiliza
Na Eng. Stella Manyanya pia ni mjumbe!
Mbona sisi Umeme haukatiki ovyo acha kumchukia Mgosi bila ya sababuKifupi makamba kafeli kutupatia umeme bila kukatikakatika
Ana Master of science in Electrical Engineering (Google utapata qualifications zake.Huyu ni Engineer wa nini??