Naomba kujua mambo yakuzingatia kwenye biashara ya mtumba

Kiborondo

Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
35
Reaction score
38
Binafsi ninaitaji kufanya biashara ya nguo za mtumba quality kabisa hasa za kina dada,mama na watoto nina mtaji wa Milion 2 ila Sina uzoefu wowote pia sijawahi kuifanya Naombeni muongozo wadau vip vya kuzingatia na njia gani za kupitia naimani kuna magwiji humu.
 
ngoja wajuvi waje, m nashida na viatu vya kiume grade A, full grain leather, sio haya makanjanja ya 100-150k, yaliojaa k.koo
 
Sijajua km kuna mkoa unauza raba kali sana grade A km Kahama! Raba inayouzw dar kwa laki 1 au 70 Kahama unauziwa 30/40!ila ndo wanauza vya kiume tu..! hizo raba za watoto sasa😋😋😋...! viatu vzr mnooo..
 
Uchana na nguo za kina dada hazilipi uza za watoto utoboe mapema

Belo grade 1 la wadada nadhan nw ni 450 had 500k..la watoto grade 1 sijui china nadhan bado ni 700 to 800k! kuna mengne 500k...! ah biashara y mtumba pasua kichwa!
labda atembelee minada yote! lakini kitundika golini mie nauita uchuuzi..unaishia kupata ya kula na ya kukodi room ulale😏!
eish nisiwe negative sana💃💃💃!
 
Nunua tishirt belo za mtumba za vijana then pitisha mitaa ya chuo utajiri unauona huo hapo kulaza laki 2 ni mishe ya kawaida
 
Sijajua km kuna mkoa unauza raba kali sana grade A km Kahama! Raba inayouzw dar kwa laki 1 au 70 Kahama unauziwa 30/40!ila ndo wanauza vya kiume tu..! hizo raba za watoto sasa😋😋😋...! viatu vzr mnooo..
serious? Ni mtumba? Maana km n spesho hata kama wanauza 200k piga ua sio o.g/pure leather,
mtumba zinakuaga chumaaa, ambayo ukiitaka mpya mfn POLO RALPH LAUREN andaa 400k tena kwa kuagza nje,
 
Belo grade 1 la wadada nadhan nw ni 450 had 500k..la watoto grade 1 sijui china nadhan bado ni 700 to 800k! kuna mengne 500k...! ah biashara y mtumba pasua kichwa!
labda atembelee minada yote! lakini kitundika golini mie nauita uchuuzi..unaishia kupata ya kula na ya kukodi room ulale[emoji57]!
eish nisiwe negative sana[emoji126][emoji126][emoji126]!
Atafute centa nzuri awe na kijiwe mimi miaka miwili nyuma nilipigika nikaamua kuuza mitumba ya watoto nilikuwa naununua bello laki sita nilikuwa na kijiwe mjini ilinilipa sana ila nimeacha mwaka Jana baada ya mambo kukaa sawa

Nilijaribu za akina dada zikanishinda niakaishia kujaza namba za mademu tu kwenye cm
 
Belo ulikua unapata km sh ngap?
 
Back
Top Bottom