Dar ndugu mbagalaHiyo biashara unataka kuifanya mkoa gani mkuu
Ok pamojangoja wajuvi waje, m nashida na viatu vya kiume grade A, full grain leather, sio haya makanjanja ya 100-150k, yaliojaa k.koo
Mbagala kuchere mkuu anza mchakato, we kaza meno anza kaziDar ndugu mbagala
Tatizo njia za kupita mkuuMbagala kuchere mkuu anza mchakato, we kaza meno anza kazi
ngoja wajuvi waje, m nashida na viatu vya kiume grade A, full grain leather, sio haya makanjanja ya 100-150k, yaliojaa k.koo
Tatizo njia za kupita mkuu
Uchana na nguo za kina dada hazilipi uza za watoto utoboe mapema
serious? Ni mtumba? Maana km n spesho hata kama wanauza 200k piga ua sio o.g/pure leather,Sijajua km kuna mkoa unauza raba kali sana grade A km Kahama! Raba inayouzw dar kwa laki 1 au 70 Kahama unauziwa 30/40!ila ndo wanauza vya kiume tu..! hizo raba za watoto sasa๐๐๐...! viatu vzr mnooo..
Atafute centa nzuri awe na kijiwe mimi miaka miwili nyuma nilipigika nikaamua kuuza mitumba ya watoto nilikuwa naununua bello laki sita nilikuwa na kijiwe mjini ilinilipa sana ila nimeacha mwaka Jana baada ya mambo kukaa sawaBelo grade 1 la wadada nadhan nw ni 450 had 500k..la watoto grade 1 sijui china nadhan bado ni 700 to 800k! kuna mengne 500k...! ah biashara y mtumba pasua kichwa!
labda atembelee minada yote! lakini kitundika golini mie nauita uchuuzi..unaishia kupata ya kula na ya kukodi room ulale[emoji57]!
eish nisiwe negative sana[emoji126][emoji126][emoji126]!
Atafute centa nzuri awe na kijiwe mimi miaka miwili nyuma nilipigika nikaamua kuuza mitumba ya watoto nilikuwa naununua bello laki sita nilikuwa na kijiwe mjini ilinilipa sana ila nimeacha mwaka Jana baada ya mambo kukaa sawa
Nilijaribu za akina dada zikanishinda niakaishia kujaza namba za mademu tu kwenye cm
serious? Ni mtumba? Maana km n spesho hata kama wanauza 200k piga ua sio o.g/pure leather,
mtumba zinakuaga chumaaa, ambayo ukiitaka mpya mfn POLO RALPH LAUREN andaa 400k tena kwa kuagza nje,
wewe nawe inaelekea mzee wa chocho/chimbo, bigupMtumba mkuu 1st grd