Naomba kujua maswali nitayokutana nayo airport immigration

Naomba kujua maswali nitayokutana nayo airport immigration

Kim McDamon

Member
Joined
Feb 23, 2019
Posts
46
Reaction score
9
Habarini wanajopo,

Naomba kujua ukiwa na work Visa yakwenda nchi za watu kufanya kibarua. Unatakiwa uwe na documents zipi hususani nchi ya Qatar.

Na maswali gani utakayo kutana nayo

Natanguliza shukrani
 
Maswali hakuna ni kupanda pipa tu mkuu na kusepa,Maswali utalizwa ubalozini kwenye kuchukua visa.
 
Okay Je hawahitaji mkataba wa kazi

Ubalozini ndio watahitaji kuprove mkuu,airport ni kusepa tu sio kwa maswali hayo,labda kama una sembe na mavitu yasiyoeleweka ndio utatiliwa shaka airport kwa maswali mengi mkuu
 
ikitokea ndege hewani imetekwa na magaidi ...wakikuuliza "Allah?" Jibu "Huakbar." ...
Wakikuuliza "Muhammad?" Jibu "rasul Allah"
Wakikuuliza "la ilah?" Jibu "ila allah"
You will thank me later, for saving your life
 
Mkuu jirekebishe tabia yako, udini + machuki yaliokua hayana msingi hayatokusaidia, sio kila post lazima uoneshe chuki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu jirekebishe tabia yako, udini + machuki yaliokua hayana msingi hayatokusaidia, sio kila post lazima uoneshe chuki

Sent using Jamii Forums mobile app
Daah wewe ndo umeonesha chuki kwangu...mimi nimeonesha upendo kwa ndugu yangu siku ikitokea ametekwa na bok haram au Isis huko Dubai wasidhani ni kafir na kumuua....sasa kosa langu liko wapi?
 
Mkataba ni lazima uhamiaji wajihakikishie kama kweli unaenda kikazi, kama huamini viache hivo vitu uone kama utavuka getting kama usipoachwa kaunta docs hazijakamilika, wale wanaoenda fanya kazi za ndani tu lazma waonyeshe docs zao ingawa wengi wanafanganya na invitation letter kama wameitwa kusalimia na ndio maana wtz wengi wakifika huko wananyanyaswa sababu walificha docs muhimu za utambulisho na sababu zinazowapeleka huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ubalozini kazi yao itakuwa ni nini ndugu?

Visa ikishatolewa kila kitu kitakuwa kimeshazingatiwa huko ubalozini mzee,ushawahi kusafiri mkuu??
Mambo yamebadilika siku hiz asipoenda na mkataba wa kazi hapiti kwenye zile counter za immigration.Tangu unyanyasaji ushamiri huko uarabuni mambo yamekua magumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ikitokea ndege hewani imetekwa na magaidi ...wakikuuliza "Allah?" Jibu "Huakbar." ...
Wakikuuliza "Muhammad?" Jibu "rasul Allah"
Wakikuuliza "la ilah?" Jibu "ila allah"
You will thank me later, for saving your life
hahahahahh
 
Back
Top Bottom